Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TFF yakusanya Tsh bilioni 40

Tv3 Tff.png TFF yakusanya Tsh bilioni 40

Sat, 16 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa miguu nchini 'TFF' limetangaza kuwa mapato ya mwaka 2023 ni bilioni 40.38 kwa ufafanuzi wa kwamba, bilioni 18.74 zimekusanywa na TFF ilhali bilioni 22.14 zimekusanywa na bodi ya Ligi 'TPLB'.

Vile vile TFF imeelekeza kuwa, makadirio ya bajeti ya matumizi ya mwaka 2024 ni bilioni 41.5 kwa ufafanuzi kwamba, TFF imekadiriwa bilioni 18.02 ilhali bodi ya Ligi ni bilioni 22.13.

Ripoti hiyo ya mapato na matumizi imewasilishwa na Mwakilishi wa Makamu wa kwanza wa Rais wa TFG, Athumani Nyamlani kwenye Mkutano Mkuu wa TFF Jumamosi ya Leo Disemba 16, 2023 mkoani Iringa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live