Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TFF yaishika uchawi Azam FC

Popat Azam Nsz Azam FC

Sun, 9 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Azam FC imetozwa faini ya TZS milioni moja kwa kosa la wachezaji wake na mmoja wa maafisa wake wa ufundi kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina ikiwemo kumwaga kimiminika kwenye lango na katikati ya uwanja katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania.

Azam FC imetozwa faini ya TZS milioni moja kwa kosa la wachezaji wake na mmoja wa maafisa wake wa ufundi kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina ikiwemo kumwaga kimiminika kwenye lango na katikati ya uwanja katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania. Adhabu hiyo imetolewa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) baada ya kikao chake cha Juni 5, mwaka huu kilichokaa kupitia mwenendo na matukio mbalimbali ya ligi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live