Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TFF yafunguka gharama za mechi za Al Hilal

Azam Hilall TFF yafunguka gharama za mechi za Al Hilal

Tue, 19 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa Habari wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania [TFF] Cliford Ndimbo ameeleza kuwa watalitolea ufafanuzi suala la nani atagharamikia kuisafirisha timu itakayoenda kucheza na Al Hilal Omdurman ugenini.

Ndimbo ameweka wazi kuwa taarifa hiyo wataitolea ufafanuzi hivi karibuni juu ya nani ataingia gharama lakini pia wataona kama itawezekana timu hiyo kuhesabiwa alama zake itakazovuna kwenye hiyo michezo.

“Tutalitolea ufafanuzi hilo suala, tumetoa ufafanuzi wa taarifa ya kwanza na taarifa zingine zitafuata,” amesema Cliford Ndimbo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live