Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TFF waingia Mkataba wa Ushirikiano na Saudi Arabia

TFF X Saudi Arabia.jpeg TFF waingia Mkataba wa Ushirikiano na Saudi Arabia

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia Rais wake Wallace Karia, limesaini mkataba wa ushirikiano na Saudi Arabia utakaogusa maeneo mbalimbali ikiwemo utawala, ufundi, timu za taifa, waamuzi, miundombinu, mashindano na ligi, mpira wa miguu wa wanawake, soka la vijana pamoja na soka la ufukweni.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia Rais wake Wallace Karia, limesaini mkataba wa ushirikiano na Saudi Arabia utakaogusa maeneo mbalimbali ikiwemo utawala, ufundi, timu za taifa, waamuzi, miundombinu, mashindano na ligi, mpira wa miguu wa wanawake, soka la vijana pamoja na soka la ufukweni. Mkataba huo umesainiwa na Rais Karia na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Saudi Arabia, Yasser Al Misehal.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live