Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameshiriki hafla ya ugawaji wa mipira kwa ajili ya programu ya ‘Football For Schools’[F4S] ambapo imeshuhudia kila mkoa kati ya mikoa 14 (12 ya bara na miwili visiwani) kupata mipira 1000 ambayo itasambazwa mashuleni.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameshiriki hafla ya ugawaji wa mipira kwa ajili ya programu ya ‘Football For Schools’[F4S] ambapo imeshuhudia kila mkoa kati ya mikoa 14 (12 ya bara na miwili visiwani) kupata mipira 1000 ambayo itasambazwa mashuleni. Hafla hiyo imefanyika leo katika Ofisi za TFF Kigamboni, Dar es Salaam na kila mkoa umepata mipira elfu moja.