Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TFF kuongeza adhabu wanaojihushisha na ushirikina

Kasongo AEuL0j.jpeg TFF kuongeza adhabu wanaojihushisha na ushirikina

Tue, 6 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema katika kanuni mpya za ligi faini ya kuhusu ushirikina imeongezeka pia lakini wataendelea kutoa Elimu ili vilabu viache haya kwani inachafua ligi.

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema katika kanuni mpya za ligi faini ya kuhusu ushirikina imeongezeka pia lakini wataendelea kutoa Elimu ili vilabu viache haya kwani inachafua ligi. "Bodi tumekaa na Wenyeviti wa timu tukubaliana tuongeze faini kwa timu zinaonyesha vitendo vya kishirikina, maana msimu uliopita kanuni hii ilivunjwa zaidi na timu zinalipa faini lakini hata hawajali, tulijiuliza faini ilikuwa ni ndogo," amesema Kasongo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live