Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TFF: Tunalishughulikia sakata la Bernard Kamungo

Bernard Kamungoo Vs Messi Bernard Kamungo

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la soka Tanzania TFF Oscar Milambo amesema harakati za kuhakikisha Benard Kamungo anaitumikia Tanzania kwenye michuano mbalimbali bado zinaendelea kwani hata kama atacheza timu ya Taifa ya Marekani chini ya miaka 23 kwenye michuano ya Olympic atakuwa bado na nafasi ya kuitumikia timu ya wakubwa ya Tanzania kama ambavyo baadhi ya wachezaji nyota waliwahi kufanya.

Mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la soka Tanzania TFF Oscar Milambo amesema harakati za kuhakikisha Benard Kamungo anaitumikia Tanzania kwenye michuano mbalimbali bado zinaendelea kwani hata kama atacheza timu ya Taifa ya Marekani chini ya miaka 23 kwenye michuano ya Olympic atakuwa bado na nafasi ya kuitumikia timu ya wakubwa ya Tanzania kama ambavyo baadhi ya wachezaji nyota waliwahi kufanya. Kamungo alizaliwa Tanzania Mkoani Kigoma na sasa ameitwa katika kikosi cha awali cha Timu ya Taifa ya Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live