Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TFF: Hakuna kusogeza mbele mechi za Ligi

Tplboard Kasongo ALMASI KASONGO

Thu, 3 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara, ALMASI KASONGO amesema ndani ya misimu miwili mfululizo tumeshindwa kutekeleza ratiba na mipango kwa sababu ya UVIKO -19.

Jangwa la Uviko 19 iliingilia kati tukashindwa kumaliza ligi kuu kwa wakati hivyo kwa msimu huu hatutaki yatokee tena.

Msimu ligi ratiba itafuatwa Kama ilivyopangwa HAKUTAKUWA na mabadiliko yoyote ya ratiba wala mechi za viporo.

Kila timu inatakiwa kufuata ratiba Kama walivyopangiwa.Hatatukuwa na huruma kwa timu yoyote kuwasaidia kusogeza mbele mechi zao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live