Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETSI: Clara Luvanga kukipiga na Cristiano Ronaldo

Clara Luvanga Spain Clara Luvanga

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi zinasema kuwa mshambuliaji wa Klabu ya Dux Logrono na timu ya Taifa ya Tanzania, Clara Luvanga huenda akajiunga na klabu ya Al Nassr ya wanawake kwa dirisha lijalo la usajili.

Tetesi zinasema kuwa mshambuliaji wa Klabu ya Dux Logrono na timu ya Taifa ya Tanzania, Clara Luvanga huenda akajiunga na klabu ya Al Nassr ya wanawake kwa dirisha lijalo la usajili. Ikumbukwe klabu ya Al Nassr ya wanaume inatumikiwa na nyota wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live