Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI ZA USAJILI: Pauni milioni 50 kumng'oa Jesus Man City, United wamfata Erikssen

Jesus Gabriel Jesus - Msambuliaji wa Manchester City

Tue, 7 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nchini England matajiri wa jiji la manchester klabu ya Manchester City na nyota wake Gabriel Jesus sasa rasmi wamefikia makubaliano kwamba nyota huyo wa Brazil ataweza kuondoka klabuni hapo kwa dau la kati ya Paund Milioni 45 hadi Paund Milioni 50.

Hivyo timu itakayo hitaji hudum aya nyota huyo itawalazimu kufika kiwango hicho kilichowekwa. Hadi sasa vilabu vya Tottenham, Real Madrid, Arsenal na Chelsea vimeonyesha kuvutiwa na mshambuliaji huyo.

Na mahasimu wao klabu ya Manchester United ilituma watu wao katika mchezo wa Denmark dhidi ya Austria kwa ajili ya kumfatilia kiungo Christian Erikssen ambaye anahitajika na mashetani hao wekundu kwa uhamisho wa bure baada kumaliza mkatab wake na klabu aya Brentford.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live