Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI ZA USAJILI: Messi atumiwa ofa nzito kumng'oa PSG

Messi Hilal Saudia Messi atumiwa ofa nzito kumng'oa PSG

Thu, 16 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Lionel Messi, 35, ameahidiwa kuwa atalipwa jumla ya pauni milioni 193 sawa na Euro milioni 220 ili kujiunga na klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia akiikacha Paris St-Germain mwishoni wa msimu huu.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Hispanial na Manchester City Julian Alvarez, 23, anakaribia kumwaga wino wa kuendelea kukitumikia kikosi cha City mpaka katika Kombe la Dunia mwaka 2028.

Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Paul Pogba, 30, amesema anahitaji kusalia Juventus licha ya msimu huu kucheza dakika 35 pekee za Serie A klabuni hapo kutokana na majeruhi.

Kocha Mkuu wa Barcelona Xavi Hernandez ameweka wazi matamanio yake ya kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ujerumani na Manchester City Ilkay Gundogan, 32, kwa ajili ya kumsajili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live