Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI ZA USAJILI: Majeraha ya Reece yawashtua Real Madrid

Reece James Ndio Basi Tena.jpeg Beki wa Chelsea, Reece James

Fri, 28 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Arsenal Liverpool Real Madrid West Ham United Aston Villa wote wanavutiwa na winga wa klabu ya Villarreal Samuel Chukwueze.

Winga huyo mwenye miaka 23 msimu huu amefunga mabao 13 na assist 11.

Chanzo: Defensa Central)

Rekodi ya majeraha ya Reece James inaweza kuizuia Real Madrid nia yao ya kutaka kumsajili beki huyo wa Chelsea mwenye umri wa miaka 23.

Chanzo: AS)

Rangers wanakaribia kumsajili kipa Jack Butland , ambaye amekuwa kwa mkopo katika Klabu ya Manchester United kwa miezi kadhaa akitokea Crystal Palace.

Chanzo: Daily Record)

Julian Nagelsmann Yuko wazi kuichukua Tottenham Hotspur lakini ikiwa tu Daniel Levy atampa udhibiti kamili, ikiwa ni pamoja na usajili mpya.

Chanzo The Independent Sport)

Newcastle United wanasonga mbele katika harakati zao kwa kiungo wa klabu ya Manchester United Scott McTominay.

Kiungo mwenye umri wa miaka 26 ameiambia Man United kwamba alitaka kuondoka klabuni hapo msimu huu wa joto ikiwa ataendelea kupata mdaa kidogo wa kucheza.

Chanzo: tw/ footyyinsider247)

Klabu ya Newcastle united inajiandaa kulipa kiasi cha pound million £31 kwa ajili ya kupata saini ya kiungo wa klabu ya Inter Milan na timu ya taifa ya Croatia Marcelo Brozovic.

Chanzo: Spoetske Novosti)

Atletico Madrid wamekamilisha usajili wa beki wa kati Çaglar Soyuncu kwa mkataba wa hadi June 2026 kwa uhamisho huru.

Chanzo Fabrizio Romano)

helsea wako tayari kumtoa Kepa Arrizabalaga kama sehemu kumreta Adre Onana kutoka inter Milan.

Chanzo: Daily Mail Sport)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live