Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI ZA USAJILI: Liverpool waikataa Ofa ya Bayern Munich kwa Mane

Sadio Mane Linked With Bayern Munich Switch 1 Sadio Mane

Tue, 7 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Liverpool wamekataa ofa ya pauni milioni 25 iliyotolewa na Bayern Munich kumhitaji mshambuliaji wake wa kimataifa wa Senegal Sadio Mane mwenye umri wa miaka 30.

Tottenham wanaendelea na mazungumzo ya awali na beki wa kulia wa timu inayoshiriki Ligi daraja la kwanza England Middlesbrough Djed Spence, 21.

Liverpool wamesitisha mpango wa kumsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania na Barcelona Gavi,17.

Kiungo mkabaji wa Manchester United na Serbia Nemanja Matic, 33, atajiunga na Roma mwishoni mwa mwezi Juni baada ya kandarasi yake Old Trafford kufikia ukomo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live