Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI ZA USAJILI: Ally Salim ajifunga Msimbazi

Ally Salim Asaini Mlinda mlango namba tatu wa Simba, Ally Salim

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu kusalia klabuni hapo hadi 2027 huku akidaiwa kuboreshewa maslahi yake kama njia mojawapo ya kumbakisha kikosini hapo.

Ally Salim ameonekana kufanya vyema katika mechi za hivi karibuni za Simba na kupongezwa na wengi huku akionekana kuziba vyema pengo la Aishi Manula ambae ni majeruhi.

Pambano lililompa sifa zaidi ni dhidi ya Yanga Jumapili iliyopita ambako aliondoka na clean sheet.

Je, una maoni yoyote kwa Mlinda mlango huyo kuongezewa Mkataba?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live