Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Yanga yatajwa kumalizana na Staa huyu...!

Boka Chadrack Boka

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto wa Klabu ya St. Lupopo na Timu ya Taifa ya DR Congo, Chadrack Boka ili kuwa mrithi wa Joyce Lomalisa ambaye ataondoka mwishoni mwa Msimu huu.

Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto wa Klabu ya St. Lupopo na Timu ya Taifa ya DR Congo, Chadrack Boka ili kuwa mrithi wa Joyce Lomalisa ambaye ataondoka mwishoni mwa Msimu huu. Boka (24) anasifika kwa uwezo mkubwa wa kuzuia na kushambulia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: