Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Yanga yamshushia chuma hiki Khalid Aucho

Kiungo Yangaaaa Bonaventure Fonseca

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imefungua mazungumzo na kiungo mkabaji Bonaventure Fonseca anayekipiga Teungueth Fc ya Senegal.

Klabu ya Yanga imefungua mazungumzo na kiungo mkabaji Bonaventure Fonseca anayekipiga Teungueth Fc ya Senegal. Mazungumzo ya awali yamefanyika na mchezaji amevutiwa na uhamisho huo. Yanga wataanza mazungumzo na Teungueth hivi karibuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: