Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Yanga yafunga hesabu kwa Bruno Gomes

Bruno Gomes Barosso Bruno Gomez

Wed, 15 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga inaripotiwa kuwa imeshafunga hesabu za kumsajili fundi wa Singida Big Stars, Bruno Gomez kama mambo yataenda kama yalivyopangwa, ataonekana katika jezi za rangi ya kijani, njano au nyeusi katika msimu ujao.

Klabu ya Yanga inaripotiwa kuwa imeshafunga hesabu za kumsajili fundi wa Singida Big Stars, Bruno Gomez kama mambo yataenda kama yalivyopangwa, ataonekana katika jezi za rangi ya kijani, njano au nyeusi katika msimu ujao. Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga ambazo ni kwamba vigogo wa Yanga tayari wameshamalizana na Gomez wiki mbili zilizopita alipokuja Dar es Salaam kupatiwa matibabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live