Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Yanga kunasa saini ya beki wa Mlandege

LANSO MLANDEGE TETESI: Yanga kunasa saini ya beki wa Mlandege

Mon, 3 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga wapo kwenye mchakato wa kuinasa saini ya Beki wa kulia wa Mlandege ya Zanzibar Abdallah Lanso.

Lanso ambae alionesha kiwango kikubwa katika mashindano ya Mapinduzi Cup msimu uliopita akiwa na Mlandenge ambao walikuwa mabingwa.

Kama mambo yasipobadilika basi Yanga watamsajili Lanso kwenye dirisha hili kubwa la usajili .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live