Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Stephen Sey atimkia Misri

Stephen Sey 11 214381831 139952314915378 7243065169194538515 N Stephen Sey

Thu, 21 Oct 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Kwa mujibu wa mwandishi nguli wa michezo barani Afrika Nuhu Adams, mshambuliaji wa Namungo Fc, Steven Sey inaripotiwa amejiunga na  El Sharkia El Dokhan FC inayoshiriki ligi kuu ya Misri.

Sey mbaye ni raia wa Ghana alifunga mabao 5, katika mechi 11 alizocheza  kwenye kombe la shirikisho Afrika na kuisadia kutinga hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Straika huyo mwenye umri wa miaka 27 alijiunga na Namungo msimu uliopita akitokea Singida United ambayo ilishuka daraja,  na kufanikiwa kuipa makali safu ya ushambuliaji ya timu hiyo mpaka sasa bado Namungo FC hawajazungumzia kuhusu dili hilo.

Chanzo: globalpublishers.co.tz