Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Singida FG kushusha Kocha Muingereza

Baxter.jpeg Stuart Baxter

Fri, 1 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wengi wamemfahamu Stuart Baxter (70) akiwa na klab ya Kaizer Chiefs ya Afrika kusini.

Baxter Ni Miongoni mwa makocha wenye wasifu wa kuvutia barani Afrika,

Baxter Ana uzoefu wa kuzifundisha timu za taifa barani Afrika na Ulaya pia klabu mbalimbali Ulaya,Afrika na Asia.

Baxter amewahi kuzifundisha timu za taifa za Uingereza chini ya miaka 19,Finland na Afrika ya kusini kwa Vipindi wili tofauti,

Siku ya Jana Alhamisi wakati Singida Big Stars wakitoka sare dhidi ya Kitayosce alikuwepo Jukwaani (LITI Stadium).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: