Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Simba yashusha chuma hiki kuungana na Mgunda

Mzamiru Mgunda Mgunda ana upongufu wa walimu katika idara ya benchi la ufundi

Thu, 17 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabosi wa Simba katika kuhakikisha wanalisuka benchi la ufundi kuwa imara zaidi ya wakati huu baada ya kumtambulisha kocha wa makipa, Chlouha Zakaria muda wowote kuanzia sasa wanamalizana na chuma kingine.

Taarifa kutoka ndani ya Simba ambazo Mwanaspoti imezipata mabosi wa timu hiyo wamemleta nchini kocha wa viungo kutoka Afrika Kusini ambaye limepatikana jina moja la Kelvin.

Meneja habari wa Simba, Ahmedy Ally alisema: “Siku si nyingi kuna mtaalamu mwingine kwenye benchi la ufundi tutamtambulisha ataungana na waliopo sasa.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live