Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TETESI: Simba kumrejesha Kocha wao wa zamani wa viungo

#TETESI: Simba Kumrejesha Kocha Wao Wa Zamani Wa Viungo.jpeg #TETESI: Simba kumrejesha Kocha wao wa zamani wa viungo

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imedaiwa, mabosi wa klabu ya Simba SC wapo kwenye mazungumzo ya moja kwa moja na aliyewahi kuwa kocha wa viungo wa klabu hiyo Adel Zrane na mazungumzo hayo yapo kwenye hatua za mwisho kukamilika.

Huyu jamaa alivyoondoka tu Simba na Simba nayo ikawa kama unga.

Ndiye alikuwa anamfanya Chama JR awe bora (speed, fighting) chama alikuwa chuma kweli kweli kipindi hicho Simba wanatumia counter attack wanamlaza platnum bao 4 kwa mkapa....

Chanzo: www.tanzaniaweb.live