Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Pablo alamba dili Sauzi

Pablo Franco Mrtn Aliyekuwa Kocha wa Simba, Pablo Franco Martin

Wed, 1 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka nchini Afrika Kusini zinaeleza kuwa aliyekuwa kocha mkuu wa wekundu wa Msimbazi Simba SC Pablo Martin yupo mbioni kujiunga na timu ya Amazulu inayoshiriki ligi kuu nchini humo

Kwa mujibu wa mkataba awali uliovuja mitandao ambao bado haujathibitishwa umeonesha kuwa kocha huyo alikuwa ameahidiwa mshahara mnono unaofika milioni 70 za Tanzania kwa mwezi pamoja na mahitaji mengine muhimu.

Baada ya kutoka taarifa za Simba SC kuachana na kocha huyo kutoka Hispania kumezidisha uvumi wa taarifa hii kuwa huenda alichagua kukubali ajira mpya nchini Afrika Kusini.

Pablo hajapatikana kujibu kuhusiana na tetesi hizi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live