Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Nabi atajwa tena Kaizer Chiefs

Nasreddine Nabi Rumours.jpeg TETESI: Nabi atajwa tena Kaizer Chiefs

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Klabu ya Kaizer Chiefs unafikiria kuununua Mkataba wa Miaka miwili wa Kocha wa AS FAR Rabat, Nasreddine Nabi ili wamwajiri kwenye Klabu hiyo kuchukua nafasi Molefi Ntseki aliyefukuzwa hivi karibuni.

Uongozi wa Klabu ya Kaizer Chiefs unafikiria kuununua Mkataba wa Miaka miwili wa Kocha wa AS FAR Rabat, Nasreddine Nabi ili wamwajiri kwenye Klabu hiyo kuchukua nafasi Molefi Ntseki aliyefukuzwa hivi karibuni. Klabu ya Kaizer Chiefs imeanza msimu vibaya ikiwa na matokeo mabovu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live