Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Mwinyi Zahera apewa "Thank you" Coastal Union

Mwinyi Zahera Atimuliwa Mwinyi Zahera

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka ndani ya Uongozi wa klabu ya Coastal Union ni kuwa umefikia makubaliano rasmi ya kusitisha mkataba na Kocha wao Mkuu Raia wa Congo DR, Mwinyi Zahera baada ya kutoridhishwa na kiwango cha Timu hiyo tangu akabidhiwe majukumu ya kukionoa.

Takwimu za Kocha Zahera akiwa na Coastal Union

Michezo 5

Ushindi 0

Sare

Kufungwa 3

Katika alama 15 Papaa mwinyi zahera ameambulia alama 2 pekee ndani ya NBC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live