Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Mexime akalia kuti kavu Kagera Sugar

Mecky Mexime Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Mexime

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imefahamika kuwa endapo klab ya Kagera Sugar itapoteza mchezo wao dhidi ya Mtibwa sugar basi uongozi wa klabu hiyo utaachana na kocha wake Meck Mexime.

Imefahamika kuwa endapo klab ya Kagera Sugar itapoteza mchezo wao dhidi ya Mtibwa sugar basi uongozi wa klabu hiyo utaachana na kocha wake Meck Mexime. Kagera Sugar na Mtibwa Sugar watacheza leo katika Uwanja wa Manungu Turiani Morogoro.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live