Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TETESI: Man United yakubali kumuuza Ronaldo

Ronaldo Kesi Ronaldo

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kukataa kumuuza mshambuliaji Cristiano Ronaldo, hatimaye Manchester United imesalimu amri na sasa ipo tayari kumpiga bei Mreno huyo kwa kiasi kisichopungua euro milioni 15.

Baada ya kukataa kumuuza mshambuliaji Cristiano Ronaldo, hatimaye Manchester United imesalimu amri na sasa ipo tayari kumpiga bei Mreno huyo kwa kiasi kisichopungua euro milioni 15. United imekubali yaishe baada ya shinikizo la nyota huyo wa zamani wa Real Madrid kutaka kuondoka huku akishindwa kutokea mazoezini kwa siku ya nne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live