Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Kocha Namungo abwanga manyanga

Denis Kitambi 1080x640 Aliyekuwa kocha wa klabu ya Namungo FC ya Lindi, Denis Kitambi

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kocha wa klabu ya Namungo FC ya Lindi, Denis Kitambi ameachana na klabu hiyo.

Jana (Jumatatu) baada ya mazoezi alipata muda wa kuwaaga wachezaji na Viongozi wa klab hiyo na kuwatakia kheri katika michezo yao ijayo.

Kitambi alichukua majukumu ya kuinoa Namungo FC baada ya kuondoka kwa Kocha Cedrick Kaze.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: