Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Kibabage asaini Miaka mitatu Yanga

Nickson Kibabage Vvv Mlinzi wa Yanga, Nicksone Kibabage

Sat, 27 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga ilishamalizana na uongozi wa klabu ya Singida Fountain Gate (majuma kadhaa yaliyopita) na sasa Umefikia makubaliano ya kimaandishi/Mkataba wa Miaka 3 na Mlinzi wao wa kushoto Nickson Kibabage baada ya ule wa Mkopo Kuisha.

Klabu ya Yanga ilishamalizana na uongozi wa klabu ya Singida Fountain Gate (majuma kadhaa yaliyopita) na sasa Umefikia makubaliano ya kimaandishi/Mkataba wa Miaka 3 na Mlinzi wao wa kushoto Nickson Kibabage baada ya ule wa Mkopo Kuisha. Sasa Kibabage ataendelea kusalia Yanga mpaka 2027.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: