Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Kelvin Kijili anukia Singida Fountain Gate

Kelvin Kijili Kelvin Kijili

Wed, 28 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klabu ya Singida Fountain Gate umeendeleza harakati za usajili na sasa unaelezwa kukamilisha uhamisho wa beki wa kulia, Kelvin Kijili aliyekuwa anacheza KMC.

Uongozi wa klabu ya Singida Fountain Gate umeendeleza harakati za usajili na sasa unaelezwa kukamilisha uhamisho wa beki wa kulia, Kelvin Kijili aliyekuwa anacheza KMC. Kijili inaripotiwa kupewa mkataba wa miaka miwili kuitumikia Singida Fountain Gate msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live