Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TETESI: James Akaminko kutua Simba kwa Mkopo

James Akaminko Kazi James Akaminko

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

James Akaminko kutimkia Simba kwenye dirisha dogo , na hii ni baada ya kuwa na maelewano mabovu na kocha wake Yusufu Dabo.

James Akaminko kutimkia Simba kwenye dirisha dogo , na hii ni baada ya kuwa na maelewano mabovu na kocha wake Yusufu Dabo. Kwa sasa Akaminko amepoteza nafasi ndani ya kikosi cha Azam Fc na Simba wanaamini wai atawasaidia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live