Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Ibenge ahusishwa kujiunga na Azam FC

Azam Vs Ibenge Ibenge ahusishwa kujiunga na Azam FC

Tue, 21 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huenda kocha Mkuu wa klab ya Al Hilal ya Sudan, raia wa Congo DR, Florent Ibenge tukamshuhudia akikifundisha Kikosi cha Azam Kwa msimu ujao.

Azam ambao wamekuwa wakijitafuta kwa muda mrefu wanaona Kocha huyo ndio mtu sahihi wa kuwafikisha pale ambapo Mabosi wanapahitaji.

Ibenge ana rekodi nzuri Michuano ya CAF Afrika akibeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho msimu uliopita akiwa na RS Berkane na msimu huu anapambana kuipeleka Al Hilal hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Inaelezwa kuwa mazungumzo baina ya pende hizo mbili tayari yameshaanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live