Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: George Mpole abadili gia angani, anukia Jangwani

George Mpole Abadili George Mpole

Mon, 10 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa FC Lupopo ya DR Congo, George Mpole ameamua kubadili gia akiwa angani, licha ya kuwa alishakubaliana kila kitu na klabu ya Kitayosce ila sasa akili yake ipo Jangwani.

Siku ya Alhamisi alionekana na Bosi Mkubwa wa klabu ya Yanga huku akionekana mwenye furaha.

Huenda akawa bbadala na Hafiz Konkon ambaye Yanga SC wanazungumzwa kumtaka na huenda wakaamua kuachana nae.

Pia kutua kwa Mpole Yanga Sc inaonyesha kuna mshambuliaji mzawa ataondolewa pale, iwe kutolewa kwa mkopo ama kuvunjiwa Mkataba.

Washambuliaji wa kati (Mambo yakikaa sawa)

Fiston Mayele

Clement Mzize

Kennedy Musonda

Yusuph Athuman

George Mpole

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: