Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Geita Gold wamtema Hemed Morocco

Hemed Morocco Kocha Aliekuwa Kocha Mkuu wa Geita Gold, Hemed Suleman 'Morocco'

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa zinasema kuwa Klabu ya Geita Gold imeachana na aliyekuwa Kocha wake Mkuu Hemed Morocco huku ikifahamika sababu kuwa ni matokeo yasiyoridhisha,

Taarifa zinasema kuwa Klabu ya Geita Gold imeachana na aliyekuwa Kocha wake Mkuu Hemed Morocco huku ikifahamika sababu kuwa ni matokeo yasiyoridhisha, Kwasasa kikosi cha Geita Gold kipo chini ya Kocha Msaidizi huku Uongozi ukiangalia uwezekano wa kusaka Kocha mkuu wa Mpya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live