Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Chama asaini mwaka mmoja Yanga

Realclatouschama Clatous Chama

Mon, 24 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imeripotiwa kumsainisha kiungo Clatous Chota Chama mkataba wa mwaka mmoja baada ya mkataba wa nyota huyo raia wa Zambia kunako Simba Sc kufikia ukomo.

Aidha, Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally kupitia Insta Live amethibitisha kuwa Chama Hana mkataba na Wekundu hao wa Msimbazi huku akiweka wazi kuwa hana uhakika kama ameongeza mkataba mpya au ataondoka.

“Kuanzia Jumatatu tutapata 'status' halisi ya Mwamba wa Lusaka ikitokea anabaki itakuwa kwa maslahi mapana ya Simba na ikitokea anaondoka itakuwa kwa maslahi mapana ya Simba" Ahmed Ally

Chanzo: www.tanzaniaweb.live