Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Beraldo mambo anukia PSG

Lucas Beraldo. TETESI: Beraldo mambo anukia PSG

Mon, 25 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi zinaeleza kuwa ‘klabu’ ya Paris Saint -Germain (PSG) inampango wa kumpa mkataba na kumfanyia vipimo vya Afya mchezaji wa ‘klabu’ ya Sao Paulo FC, Lucas Beraldo.

Inaelezwa kuwa ‘timu’ hiyo inatarajia kulipa ‘klabu’ anayotokea mchezaji huyo pauni milioni 20 kwa ajili ya kumchukua beki huyo mwenye umri wa miaka 20.

Hata hivyo, mchezaji huyo raia wa Brazil inadaiwa yuko njiani kueleke Paris kwa ajili ya kusaini mkataba huo wa muda mrefu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live