Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Barcelona watajwa kuibomoa Arsenal

Mikel Arteta Barcelona Barcelona wameripotiwa kumuhitaji Mikel Arteta kama Kocha mpya

Thu, 3 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tovuti ya Sky Sports imeripoti kwamba Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania inamtolea macho Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kuwa mkufunzi wao mpya.

Tovuti ya Sky Sports imeripoti kwamba Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania inamtolea macho Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kuwa mkufunzi wao mpya. Barcelona inapitia kipindi kigumu baada ya kuondolewa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live