Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Azam FC kushusha kiungo Msenegal

Ibrahim Seck 34 Ibrahima Seck

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inasemekana kuwa Mtendaji Mkuu wa Azam FC Abdulkarim Nurdin yupo kwenye mazungumzo na Kiungo Mkabaji raia wa Senegal Ibrahima Seck (34) ili kuweza kumleta Azam katika dirisha dogo la usajili.

Inasemekana kuwa Mtendaji Mkuu wa Azam FC Abdulkarim Nurdin yupo kwenye mazungumzo na Kiungo Mkabaji raia wa Senegal Ibrahima Seck (34) ili kuweza kumleta Azam katika dirisha dogo la usajili. Azam wanaonekana kutaka kuimarisha kikosi chao kwa lengo la kusaka Ubingwa wa Ligi baada ya kuukosa kwa miaka mingi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live