Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Al Ahly kuachana na Modeste

TETESI: Al Ahly Kuachana Na Modeste TETESI: Al Ahly kuachana na Modeste

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Al Ahly watajaribu kuachana na mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Modeste mwezi Januari.

Al Ahly watajaribu kuachana na mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Modeste mwezi Januari. Klabu haijafurahishwa na uchezaji wake katika michezo aliyocheza hadi sasa kocha wa Ahly Koller tayari anatafuta mbadala wake katika soko la uhamisho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live