Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TBT: Wachezaji wa zamani na majina yao ya utani

WACHEZAJI TBT: Wachezaji wa zamani na majina yao ya utani

Thu, 6 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanzania ilibarikiwa kuwa na vipaji vilivyotikisa katika medani ya soka miaka ya nyuma ambao licha ya ubora wao walipachikwa majina ya utani na yakavuma kama vile ni majina yao halisi.

Tanzaniaweb inakuletea Orodha ya wachezaji wa zamani na majina yao ya utani kama ifuatavyo;

1. Bakari Malima, (Yanga Sc) Utani: "Jembe Ulaya"

2. Zamoyoni Mongela (Simba Sc) Utani: "Golden Boy"

3. Ally Mayai (Yanga Sc) Utani: "Tembele"

4. Makumbi Juma (Yanga Sc) Utani: "Homa ya Jiji"

5. Ally Yusuph (Yanga Sc) Utani: "Tigana"

6. Malota Soma (Simba Sc) Utani: " Ball Jagler"

7. Sunday Manara (Yanga Sc) Utani: Computer

8. Jamhuri Kihwelo ( Simba Sc) Utani: Julio

9. Edward Chumilla (Simba Sc) Utani: "Edo boy"

10. Said Maulid (Yanga Sc) Utani: "SMG"

11. Shedrack Sanjigwa (Yanga Sc) Utani: "Fuso"

12. John Nteze (Simba Sc) Utani: "Rungu"

13. Edward Chumilah, (Simba Sc) Utani: "Edo Boy"

14. Ezekiel Grayson (Yanga Sc) Utani: "Jujuman"

15. Mao Mkami ( Yanga Sc) Utani: "Ball dancer"

16. Mohamed Hussein (Yanga sc) Utani: "Mmachinga"

17. Hamis Gaga (Simba Sc) Utani: "Gagarino"

18. Selemani Matola (Simba Sc) Utani: "Veron"

19. Victor Costa (Simba Sc) Utani: "Nyumba"

20. Madaraka Selemani (Simba Sc) Utani: "Mzee wa Kiminyio"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live