Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TBT: Unamjua au unamsikia Alan Shearer?

Shearer Alan Shearer

Thu, 27 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tarehe kama ya leo mwaka 1992, Mshambuliaji kinda na anayechipukia vyema wa Southampton anayekwenda kwa jina la Alan Shearer ananunuliwa na Blackburn Rovers kwa ada ya uhamisho ya Pauni 3.6m (Sh 11.4bilioni), ambayo kwa wakati huo iliweka Rekodi ya usajili kati ya klabu za England.

Shearer alifanikiwa kubeba ndoo ya Ligi Kuu England akiwa na timu ya Blackburn Rovers.

Alan Shearer ndio mfungaji bora wa muda wote wa Ligi Kuu England akiwa na mabao 260.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live