Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TBT: Kocha Senegal alivyompa za uso Jurgen Klopp

Cisse X Klopp TBT: Kocha Senegal alivyompa za uso Jurgen Klopp

Thu, 3 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Senegal Aliou Cisse aliwahi kusema kuwa Kocha wa Liverpool si lolote kwake na wala hampi heshima isipokuwa anaiheshimi Klabu ya Liverpool.

Hatua hiyo ilikuja baada ya Klopp kusema Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) ni michuano midogo akipinga kitendo cha kuondoka kwa nyota wake Mohamed Salah na Sadio Mane kuja kyawakilisha Mataifa yao.

Kauli hiyo ilimkasirisha Cisse ambapo alisema;

“Naiheshimu Liverpool ila si Klopp, yeye hapendi soka la Afrika anadharau Wachezaji wa Afrika bila kujua yuko pale alipo leo kwa sababu ya wachezaji wa Afrika. Alikuwa akifungwa fainali zote hadi alipompata Mohamed Salah, Sadio Mane, Matip"

Una neno gani kwa kauli hiyo ya Jurgen Klopp?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live