Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TANZIA: Yannick Bangala afiwa na Baba yake

Bangala Afiwa Yannick Bangala afiwa na Baba yake

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Azam FC, Yanick Bangala Litombo amefiwa na baba yake mzazi, Dennis Bangala aliyefariki juzi kwao, Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Kiungo wa Azam FC, Yanick Bangala Litombo amefiwa na baba yake mzazi, Dennis Bangala aliyefariki juzi kwao, Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live