Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Shabiki Maarufu wa Azam FC afariki Dunia

TANZIA AZAM FC Hamza Athuman Mkata, shabiki wa Azam FC

Sat, 8 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Azam FC inaungana na familia ya Mkata na wanasoka wote kuomboleza kifo cha Hamza Athuman Mkata, shabiki wa Azam FC, aliyefariki dunia leo Jumamosi ya Julai 8, jijini Dar Dar Es Salaam.

Marehemu alikuwa shabiki wa Azam FC kutoka kundi la @azamfcdiehardfans na alikuwa mstari wa mbele kwenye jambo lolote kuhusu Azam FC.

Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live