Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Nyota Azam FC, afiwa na baba yake

Msiba Kola Nyota Azam FC, afiwa na baba yake

Fri, 10 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Klabu ya Azam FC, Mzambia Rodgers Kola, amefiwa na Baba yake Damiano Kola.

Katika taarifa iliyotolewa na klabu ya Azam FC, imesomeka ikimpa pole Mshambuliaji huyo.

"#TANZIA Kwa niaba ya Bodi, viongozi, wafanyakazi na mashabiki wa Azam FC, tunapenda kutuma salamu za rambirambi kwa familia ya mshambuliaji wetu, Rodgers Kola (@king_kola10), baada ya kufiwa na baba yake mzazi, Damiano Kola Senior. Tunamwomba Mwenyezi Mungu, awatie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. R.I.P Mr. Damiano Kola Senior".

Imesomeka sehemu ya taarifa ya Azam FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live