Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Kocha JKT Queens afariki Dunia

Essau Sanu Kocha JKT Queens afariki Dunia

Sat, 16 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa viungo wa timu ya soka ya wanawake ya JKT Queens, Esau Sanu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Machi 16, 2024.

Katika taarifa iliyotolewa na timu hiyo kupitia mitandao ya kijamii, imesema Esau amefariki katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Endelea kufuatilia Tanzaniaweb habari zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live