Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Kiungo wa zamani Harambee Stars afariki Dunia

Harambee Stars Kiungo wa zamani wa timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars), Ahmed Breik

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars), Ahmed Breik amefariki dunia leo Desemba 11, 2023 nyumbani kwake eneo la Majengo, Mombasa baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Kiungo wa zamani wa timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars), Ahmed Breik amefariki dunia leo Desemba 11, 2023 nyumbani kwake eneo la Majengo, Mombasa baada ya kuugua kwa muda mrefu. Ahmed Breik alichezea Feisal FC, Mombasa Combined na timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live