Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Golikipa Ghana afariki Dunia

Sylvester Sackey.jpeg Sylvester Sackey

Wed, 13 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda mlango wa klabu ya Legon Cities FC ya Nchini Ghana, Sylvester Sackey raia wa Ghana amefariki Dunia jana Septemba 12, 2023 akiwa na umri wa miaka 26 baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Mlinda mlango wa klabu ya Legon Cities FC ya Nchini Ghana, Sylvester Sackey raia wa Ghana amefariki Dunia jana Septemba 12, 2023 akiwa na umri wa miaka 26 baada ya kuugua kwa muda mfupi. Taarifa ya klabu hiyo imebainisha kuwa Sackey alikuwa kuwa mchezaji wa klabu hiyo kwa kipindi cha misimu minne iliyopita na alikuwa golikipa namba moja wa timu hiyo kwa sehemu kubwa ya misimu miwili iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live