Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Dickson Ambundo afiwa na Baba yake

Dickson Ambundo Afiwa Dickson Ambundo afiwa na Baba yake

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa zamani wa Klabu ya Dodoma Jini na Yanga ambae kwa sasa anakipigia Singida Fountain Gate,Dickson Ambundo amepatwa na msiba wa kufiwa na Baba yake Mzazi Mzee,Isack Ambundo.

Tanzaniaweb tunaungana na Mchezaji huyo katika kipindi hiki kigumu anachopitia kwa sasa.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live