Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Ahmed Ally wa Simba afiwa na Baba yake

AHMED ALLY SIMBA GF.jpeg Ahmed Ally, Meneja wa Habari wa Simba SC

Sat, 17 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari wa Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amefiwa na baba yake Mzazi 'Mzee Ally' usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Juni 17, 2023.

Ahmed amesema msiba upo nyumbani kwao maeneo ya Yombo, Dares Salaam, mazishi yanatarajiwa kufanyika Saa 10 jioni ya leo.

Mwenyezi Mungu awape nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live